Kama wanipenda, kaninunulie zeze
Nikilala kitandani, zeze lanibembeleza
Kama wanipenda, kaninunulie zeze
Nikilala kitandani, zeze lanibembeleza
Mateso moyoni, usiku silali
Hadithi sitaki, nataka zeze
Penzi lako la thamani, tanashati jamani
Usiku silali, nakupenda zezee
Kama wanipenda, kaninunulie zeze
Nikilala kitandani, zeze lanibembeleza
Kama wanipenda, kaninunulie zeze
Nikilala kitandani, zeze lanibembeleza
Majungu sitaki, zeze langu silipati
Mapepe sipendi, mapepe sipendi
Penzi lako burudani, tuwapo kitandani
Zeze langu maanani, zeze langu maanani
Kama wanipenda, kaninunulie zeze
Nikilala kitandani, zeze lanibembeleza
Kama wanipenda, kaninunulie zeze
Nikilala kitandani, zeze lanibembeleza
Mpenzi zeze vipi sema basi unanikataa
Mpenzi sema basi kabla haijawa balaa
Usiniletee mapozi njoo kwa mwanasanaa
Punguza gozi gozi machizi watakushangaa
Kama unanipenda njoo niimbie lullaby
Njoo upige zeze tucheze tupafu tuwe hai
Wanga wakisema nadhani usiku watalala
Zeze napigiwa mjanja zeze hapigiwi fala
Kama unanipenda kaninunulie sio hatari
Kama uko tayari twende home kujivinjari
Jay Moe na TID ndani ya sauti ya dhahabu
Ni soo, ongeza bidii wewe kwangu ndo jibu
Kama wanipenda, kaninunulie zeze
Nikilala kitandani, zeze lanibembeleza
Kama wanipenda, kaninunulie zeze
Nikilala kitandani, zeze lanibembeleza
Kama wanipenda, kaninunulie zeze
Nikilala kitandani, zeze lanibembeleza
Kama wanipenda, kaninunulie zeze
Nikilala kitandani, zeze lanibembeleza