Aah, Kutwa viguru njiani majirani wote wamekuchoka
Mara chumba cha fulani mtu gani we kwako usoka
Washinda vibarazani ya wenzako kuropokaaa
Kwa kuwa umemuona Fulani ona usoo ulivyokukoboka
Sio mwisho vibaoni adi kwenye vigodoroo
Usio na haya usoni kote wazua migogoro
Ivi wewe haujioni kuwa unakasoro
Uso mchana jioni si wajuz si tomorrow
Sio mwisho vibaoni kwenye vigodoroo
Usio na haya usoni kote wazua migogoro
Hivi wewe haujioni kuwa unakasoro
Uso mchana jioni si wajuz si aaaah!
Aahh!! Zingifuli zingifuli zinga mahala ukakaa
Usoo mila desituri usiyejua tongozwa ukakataa
Usio hiana fedhuri uongo umekuja
Kujifanya mashuhuri kumbe chaka umechakaa
Aagah!! Mwanzako mim turufu si garasa
Mwenye nyota ya umaarufu si kupapasa
Tena jokali la nguvu makarata
Lile hodari maguvu si kwasakwasa
Ooohh!!! Mwenzako mimi turufu si garasa
Mwenye nyota ya umaarufu sio hozakosa
Nasema naweee x3 (nawe nawe oh)
Nasema naweee x 3(nawew oh)
Chezea chezea (nasema nawee)
Aaah!! Umezidi (nasema naweee)
Oooohhh!!! (nasema naweee)
Nasema nawee x 3 (nawew oh)
Nimechoka nasema nawee….