How many times do i have to say?
I′m sorry for the wrongs i have done to you
If i cud've go back and change, but am fresh and blood baby i make mistakes
Oh najua nimekukosa, sasa hivi umenichoka
Mpenzi naomba unisamehe, sahau zote unirudie,
Nimejuta chochote nilivofanya,
Ntawezaje bila wewe, asali wa moyo wangu,
Naamini nilikuumiza rohonii,
Naamini pia ulilia machozi mengii
Natamani wewe sitaki mwingine sitaki kuishi bila wewe,
Mimi na wewe turudi nyumbani tuishi pamoja milele
Niko chini kwa magoti.naomba nisamehe,
Unachotakaa,, oh nitakupa ah
Nitabadilika juu yako, sababu nakupendaa ahh
Natamani wewe, sitaki mwingine, sitaki kuishi bila wewe
Mimi na wewe rudi nyumbani tuishi pamoja milele
Natamani wewe, sitaki mwingine, sitaki kuishi bila wewe
Mimi na wewe rudi nyumbani tuishi pamoja milele