Are you an artist? Make the most of your lyrics with Musixmatch Pro!
These Lyrics are yet to be verified
7 contributions
about 2 years ago
Translations
English
French

Lyrics of Usilie by Christian Bella,Banana Zoro

Christian Bella asubuhi imefika
Saa kumi na mbili, jogoo ameshawika, kokoliko kokoo
Kokoliko wowo, yaweh
Wafanyakazi wanaenda maofisini
Wauza sokoni, wanaenda soko kuuza
Watoto wa shuleni nao wameshapendeza
Wanaenda shuleni kutengeneza maisha ya kesho
Prépare le demain, demain, demain ye, ye
Wafanya biashara wanaenda biasharani
Wajanja mitaani, wanasukuma mikokoteni
Mimi maskini niende wapi?
Nianze wapi? Nitamalizia wapi?
Kazi sina, deal yoyote mimi sina (kaza moyo)
Natoka asubuhi, narudi usiku bila kitu we
Apechalala ndefu mifukoni every day
Sisi masikini twende wapi? Tuanze wapi? Tutamalizia wapi?
Kazi hatuna, deal yoyote sisi hatuna
Waliopata kwani walishika kazi ya Mungu
Mola Baba sikia kilio chetu, oh oh yahwe yala (yala yalala) ya Rabbit
Oh, oh papa na ngai zua nao lokumu le Dieu, le créateur
Tabu na shida kila siku mimi (mimi)
Tabasamu lini utanipitia jamani (jamani)
Maisha yangu kila siku kulia
Bella sikia (oh oh, eyi eyi ye, oh, oh)
Mitihani ni mingi usivunjike moyo
Matatizo yana mwisho wake
Oh yeah, kwanini we hujiamini?
Kama Musa alivuka bahari kwa fimbo na imani, wewe ni nani?
Hata kama wanasema zamani ulikuwa nyani
Oh eh, jiamini, le-le-le
Usilie
Kaza moyo
Usilie
Kaza moyo
Usilie
Najiuliza sana? (sana) kwani mimi Bella? Hapa duniani?
Nilikuja kusindikiza tu wenzangu (jikaze Bella)
Wale tulisoma nao (nao)
Tulikuwa nao, wanaishi vizuri na familia zao
Kosa langu ni nini nisilosamehewa?
Mola Baba nionyeshe hata ndotoni
Nisali kwa lugha gani? Nielekee wapi?
Kama dini nimeshabadilisha mpaka basi
Naona kama maombi hayafiki kwa Mungu baba
Waliopata kwani walisalimiana na Mungu?
Usilie
Na mimi sintokata tamaa (kaza moyo)
Najua kuna siku nitapata (ni kweli)
Ugumu wa maisha ni kipimo cha akili (cha akili)
Christian Bella analia (analia)
Alle Mapigo analia (analia) le-le-le-le
Usilie
Kaza moyo
Usilie
Kaza moyo
Christian Bella usilie
Usilie mpaka Mapigo akusikie
Hapo ulipo we usiumie
Usiumie kila mtu mpaka akusikie
Mwanamume analia kama simba
Ndani ya moyo, peke yake usiku wa manane
Manane, manane, sio saa nane mchana
Writer(s): Christian Bope Bella

Contribute

To-do

Structure Tag
Identify the song's sections

Completed

Lyrics
Lyrics in time with music
Performers Tag
Identify who's singing what

Credits

This song has no credits yet

Contributions

Last edit about 2 years ago
Are you an artist? Distribute your lyrics!
Take full control of your lyrics. Curate, sync, and distribute your lyrics on Spotify, Apple Music, and more.
Explore Musixmatch Pro