Are you an artist? Make the most of your lyrics with Musixmatch Pro!
Add translation
Share
These Lyrics are yet to be verified
0 contributions
about 8 years ago
Translations

Lyrics of Ningefanyaje (feat. Avril & Rossie M) by Ben Pol,Avril,Rossie M

Sio siri mamaa,
Nilikujali sana na kujiheshimu,
Nilijua kwamba Mungu akipenda ntakuwa nawe,
Usizani kwamba nilikusudia kutengana nawe,
Mi sijui hapa nilipo saa hii nimefika vipi,
Alivyoniingia (sikumbuki)
Akanizoea (sikumbuki)
Moyo akanipa na wangu nkautua
Alivyoniingia (sikumbuki)
Akanizoea (sikumbuki)
Moyo akanipa na wangu nkautua
Ningefanyaje na we haukua karibu na mimi
Lakini ye ndie alikua ananijali mm
Ntafanyaje na ye yupo tayari kuishi mm
Lakini wee ndie tulizo la moyo wangu
Sio siri baba
Nilikupenda sana na kukuthamini
Nikiamini kwamba Mungu akipenda ntakua wako,
Mi najua kwamba umekusudia kutengana nami
Na mi sijui hapa tulipo ooh ooh
Tunatoka vipi
Alivyoniingia (sikumbuki)
Akanizoea (sikumbuki)
Moyo akanipa na wangu nkautua
Alivyoniingia (sikumbuki)
Akanizoea (sikumbuki)
Moyo akanipa na wangu nkautua
Ningefanyaje na we haukua karibu na mimi
Lakini ye ndie alikua ananijali mm
Ntafanyaje na ye yu tayari kuishi mm
Lakini wee ndie tulizo la moyo wangu
Ningefanyaje na we haukua karibu na mimi
Lakini ye ndie alikua ananijali mm
Ntafanyaje na ye yu tayari kuishi mm
Lakini wee ndie tulizo la moyo wangu
Ningefanyaje
(Oooh ayaa ya ya)
Writer(s): Avril Nyambura Mwangi

Contribute

To-do

Structure Tag
Identify the song's sections

Completed

Lyrics
Lyrics in time with music
Performers Tag
Identify who's singing what

Credits

This song has no credits yet
Ningefanyaje (feat. Avril & Rossie M)
Ningefanyaje (feat. Avril & Rossie M)
Single • 2015 • 1 track
1
Ningefanyaje (feat. Avril & Rossie M)
Ben Pol, Avril, Rossie M
Are you an artist? Distribute your lyrics!
Take full control of your lyrics. Curate, sync, and distribute your lyrics on Spotify, Apple Music, and more.
Explore Musixmatch Pro