Mapenzi alinipa mama nami leo nakupatia tena sitaki lawama riziki yakohakuna nitakupenda sana mpaka wivu utakimbia nanitalia nawewe mi kwako nyang′anyang'a
Nini unataka me na miujiza nini unataka, kama ni macho ya bluelight sema nini unataka
Nikugeuze princess sema nini unataka unavyobilinge bayoyo hivyo mi ndo natakataka sana taka