Hakuna kama wewe umetukuka milele lyrics

Get lyrics of Hakuna kama wewe umetukuka milele song you love. List contains Hakuna kama wewe umetukuka milele song lyrics of older one songs and hot new releases. Get known every word of your favorite song or start your own karaoke party tonight :-).


John Lisu - Hakuna Kama Wewe Lyrics
hakuna kama, wewe hakuna kamwe. peke yako umetukuka nani kama wewe. mataifa yatetemeka nani kama wewe. umejivika heshima na nguvu nani kama wewe. ×3 mataifa yatetemeka kama wewe. haaaakuna mwingine kama wewe, nakwabudu mungu wetu wastahili. haaakuna mwingine kama wewe. ×2 hakuna kama wewe hakuna aaah kamwe peke yako umetukuka nani kama wewe.
Isaac Kahurah Wangari - Umetukuka Lyrics
Umetukuka twakuheshimu Hakuna mwingine kama wewe Wewe mungu baba yangu nakuinua nakuabudu Wewe mwanzo tena mwisho Sitwasikia yudah hutashindwa Sauti yako twaielewa ...
John Lisu - Tunakuabudu Bwana Lyrics
Hakuna kama wewe Bwana Matendo yako kwangu ni ya milele, Wewe wastahili, heshima dhamana nguvu, ooh! Uweza wako washangaza mataifa yote, eeh! Wewe ni Mungu mkuu, wastahili heshima, Tunakuinua...
John Lisu - Twakusifu Lyrics
You will get 3 free months if you haven't already used an Apple Music free trial. Redeem your gift
John Lisu - Nitakushukuru Lyrics
Nitakusifu milele. Nitakusifu daima Eeh wastahili sifa na heshima Bwana Hakuna kama wewe aah halleluyah Sifa na heshima pokes bwana wewe wasitahili utukufu na nguvu mamlaka na sifa Utukufu naheshima Uweza mamlaka Utukufu na sifa utukufu Niwa Mungu pekee. Relatar um problema.
Adawnage - Tulizo Lyrics
Masiya, hakuna haya ya kukimbilia wewe Kwa maana nimeona hakuna kama wewe (Refrain) Hakuna, hakuna, mwenye penzi kama lako Baba Hakuna, hakuna, baraka kama zako wewe Hakuna, hakuna, aliyenifia ila wewe Hakuna, hakuna, ee ee (Refrain)
Erasto Shengezi feat. Eunice Njeri - Amenitoa Mbali Lyrics ...
Lyrics for Amenitoa Mbali by Erasto Shengezi feat. Eunice Njeri. Niseme nini bwana kwa ajili ya upendo wako, Baba uliacha utukufu mbinguni Baba kwa ajili y...
Florence N. Mureithi - Wewe Ni Mungu Lyrics
(Vizazi hadi Vizazi, Vya kufahamu wewe Uliye mungu wa kale na uliye mungu wa leo Kazi zako zaonyesha ukuu wako wewe Umetukuka umeinuliwa ewe bwana)x2 Kweli wewe wewe ni mungu Kweli wewe wastahili Umeketi juu sana, kwenye kiti cha enzi Umejivika utukufu, wewe ni mungu (Nikitazama matendo yako na nguvu zako wewe Yadhihirika machoni mwangu wengine wote ni miungu Uumbaji wako waonyesha hekima yako ...
Gloria Muliro - Nani Kama Wewe Lyrics
Umetukuka adonai, el shadai Mungu mwenye nguvu Ni nani mwingine kama wewe Hakuna wa kulinganishwa na wewe Baba Nani kama wewe Baba/Yahweh Report a problem No translations available
Eunice Njeri - Bwana Yesu Lyrics
Lyrics for Bwana Yesu by Eunice Njeri. Bwana Yesu Bwana Yesu Kimbilio langu ni wewe baba Tumaini langu liko kwako Yahweh Mimi sin...
Sarah K - Nasema Asante Lyrics
Nasema asanti kwa Mungu wangu Nasema Asanti kwa wema wako kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele. ... Wewe ni Alpha na Omega Wewe ni mwanzo na ni mwisho Hakuna mwingine Baba Haleluya nakupenda, nakuinua, nakutukuza Nasema asanti kwa Mungu wangu Nasema Asanti kwa wema wako kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele Amina. Nasema ...
Dan Em - Hakuna Wa Kufanana Lyrics
Lyrics for Hakuna Wa Kufanana by Dan Em. Haaaaalellujah Haaaaalellujah hakuna wa kufanana naye Hakuna wa kufanana Yesu ee hakuna wa...
John Lisu - Jehovah Yu Hai Lyrics
Jehovah yu hai, Yu hai milele, Jehovah yu hai Eeh watu wote tumsifu eeeh, Watu wote tumsifu, Aaaa, Haleluya, Jehovah yu hai Avunjavunja uta wa adui zetu eeh, Jehovah yu hai, Wanadamu tumwimbie eeh, Haleluya, Jehovah Yu hai, Aliyeshika makanwa ya simba, kamwokoa Daniel, leo yu hai, Makabila tumwimbie ee, Haleluya, Jehovah yu hai Jehovah yu hai.
Mercy Masika - Wastahili Lyrics
Mungu wa wokovu wangu Wastahili kusifiwa Hakuna kama wewe, Yesu Kule kuwa kama Mungu Uliona si kitu Cha kushikamana nacho Ukaacha enzi ukashuka kwetu Kule kuwa kama Mungu uliona si kitu Cha kushikamana nacho Ukashuka kwetu Kutukomboa Kaburi lilishindwa kukushika shujaa Ukatoka na nguvu na mamlaka Umeketi enzini Wafungua wafungwa Twakuabudu ...
John Lisu and the Children of Asaph - Jehovah Yu Hai ...
Jehovah yu hai, Yu hai milele, Jehovah yu hai Eeh watu wote tumsifu eeeh, Watu wote tumsifu, Aaaa, Haleluya, Jehovah yu hai Avunjavunja uta wa adui zetu eeh, Jehovah yu hai, Wanadamu tumwimbie eeh, Haleluya, Jehovah Yu hai, Aliyeshika makanwa ya simba, kamwokoa Daniel, leo yu hai, Makabila tumwimbie ee, Haleluya, Jehovah yu hai Jehovah yu hai.
Found 15 lyrics.

Recent lyrics

iove
9 to 5
de fam