Baba yangu lyrics

Get lyrics of Baba yangu song you love. List contains Baba yangu song lyrics of older one songs and hot new releases. Get known every word of your favorite song or start your own karaoke party tonight :-).


Get hot Baba Yangu lyrics at Lyrics.camp!
Sauti Sol - Asante Sana Baba Lyrics
Asante sana baba yangu Umenipa mafunzo ya ajabu Kunifunza kweli ni taabu Nafanya kazi usiaibike Baba baba baba baba [yangu] Asante sana baba yangu [ni wewe] Umenipa mafunzo ya ajabu [eeeeeehhh] Kunifunza kweli ni taabu [ni wewe baba] Nafanya kazi usiaibike. Check Out.
SOLOMON MKUBWA - MUNGU MWENYE NGUVU LYRICS
Baba utukuzwe, Baba uinuliwe (Father be praised, Father be lifed up) x3 Rafiki yangu, I love you, I love you Father yo (My friend I love you, Father) Baba utukuzwe, Baba uinuliwe (Father be praised, Father be lifed up) Maneno yafungua watu (Your words releases prisoners) Baba utukuzwe, Baba uinuliwe (Father be praised, Father be lifed up)
Angela Chibalonza Muliri - Ninatamani Lyrics
yesu akasema mimi nimi njia ya uzima akuna awezae kufika kwa baba yangu bila kwangu mimi miminimi njia ya uzima baba natamani nikuone2 yesu natamani nikuone masia natamani nikuone maishani mwangu natamani nikuone baba natamani nikuone ninatamani niombe bila kukoma ili nifike mbinguni kwa baba yangu ninatamani niyashinde majaribu nivikwe taji, taji ya uzima wa milele yesu akasema miminimkate wa ...
Isaac Kahurah Wangari - Umetukuka Lyrics
Umetukuka twakuheshimu Hakuna mwingine kama wewe Wewe mungu baba yangu nakuinua nakuabudu Wewe mwanzo tena mwisho Sitwasikia yudah hutashindwa Sauti yako twaielewa ...
Kambua - Nishikilie Lyrics
Wewe ni nguzo yangu Wewe kimbilio langu Mwanga wangu Baba yangu Nikikimbia nimkimbilie nani? Nikilia nimlilie nani? Nikianguka nani aniamshaye Nikilala nani anilindaye Nishikilie Niongoze Mbali na waovu Baba eeeh Nionyeshe njia zako Nami nitazifuata Milele Nishikilie Nishikilie Gogo lako Na fimbo lako Lanifariji Baba eeh Waandaa meza mbele yangu Machoni pa watesi wangu Nishikilie Niongoze ...
Saida Karoli - Orugambo Lyrics
Lyrics for Orugambo by Saida Karoli. Nairuka na baza mae aye oige nomuleta Nikamuuliza baba yangu kasema utafute ulete Mpaka Da...
Ferre Gola feat. Victoria Kimani - Tucheze Lyrics
The Lyrics for Tucheze by Ferre Gola feat. Victoria Kimani have been translated into 1 languages. baba, ninakuja unihurumie sana, nakuomba unihurumie, huku dunia kama mtu anafanya ubaya, itika baba niko mtoto yako, me silali mgeni, me silali mgeni, husinifungie, oh baba yangu, oh tucheze tucheze, tucheze michezo ya kwetu tucheze tucheze ...
Mercy Masika - Nikupendeze Lyrics
Familia yangu marafiki zangu tuwe sawa nawe biashara zangu kila kitu changu kiwe sawa nawe Familia yangu marafiki zangu tuwe sawa nawe biashara zangu kila kitu changu kiwe sawa nawe ee Niguze nifinyage unibeebe niunde nitengeneze niwe kama wewe X2 NIKUPENDEZE ee baba ah maishani mwangu...
Daddy Owen - Wewe Ni Mungu Lyrics
ozali eh, messiah, mokano nayo esalema oseeh, ozali eh, messiah, mokano nayo esalema oseeh, wewe ni mungu, usifiwe, mapenzi yako yafanyike kote, na kuishi kwangu ni we, kulala kwangu ni we, kuvaa kwangu ni wewe baba, maisha yangu ni wewe,(baba ni wewe) uzima wangu ni wewe yahweh, ata kama sina pesa, ata kama sina mali, ata kama sina, kwa mapenzi najua utatenda, maisha yangu ni wewe,(baba ni ...
Yesu Ndiye Baba Lyrics - musixmatch.com
yesu ulisema wewe ndiye baba wa mayatima tena baba wa (repeat twice) shida za dunia zimenisumbua na wandugu zangu wote wamefariki nimebaki peke yangu bila msaada kwa hio nakuja kwako unaisaidie.
Fanuel Sedekia - Unastahili Lyrics
Unastahili kuabudiwa unastihili ewe yesu unastahili kuabudiwa unastahili (Unastahili we) U... Type song title, artist or lyrics. Top lyrics Community Contribute. ... Baba Yangu. See more. Exclusive offer. Get up to 3 months of free music. You will get 3 free months if you haven't already used an Apple Music free trial.
Joel Lwaga feat. Chris Shalom - Umejua Kunifurahisha ...
Baba umejua kunifurahisha, Baba umenifuta machozi, Daddy ooh, Umejua kunifurahisha, Baba nitakusifu milele, Baba Aaaaah (Baba umejua kunifurahisha) Babaa (Baba umenifuta machozi) Daddy ooh (Daddy ooh, umejua kunifurahisha) Babaa (Baba Nitakusifu milele) Umerudisha tabasamu langu... Usoni, Umerejesha na furaha yangu...
Gloria Muliro - Msaidizi Lyrics
Tuma Baba tuma msaidizi x2 Tuma Yesu, tuma msaidizi x2 Yesu uliahidi wanafunzi wako Kwamb... Type song title, artist or lyrics. ... Nakuomba Baba, Tuma roho wako ndani yangu Anifunze, aniongoze, anitawale Mienenendo yangu aitawale Maombi yangu, kufunga kwangu aitawale Naomba tuma Baba Roho wako anifunze neno/ aombe/aimbe ndani yangu ...
Les Wanyika - Sina Makosa Lyrics
wataka kuniua bure baba wataka kuniua bure baba. yule si wako nami si wangu chuki ya nini kati yangu mimi na wewe chuki ya nini kati yangu mimi na wewe. hasira za nini wee bwana hasira za nini wee bwana wataka kuniua bure baba wataka kuniua bure baba
Dena Mwana - Roho Yangu Lyrics
Huwezi ku pimwa Hujuwa niya zangu uuh Baba hujuwa uga wangu ouuh Maneno yangu machache kukueleza Upendo wangu kwako Sikiliza roho yangu baba Moyo wangu hukuimbiya ...
Rayvanny - Zezeta Lyrics
Baby mooh nifanye big G unitafune Ama niwe sindano nawe uwe uzi nguo nifume Ama niwe ndoo uwe maji yangu unawanume Nifanye kucha kama ukiwasha mi nikukune sema mama ...
Solomon Mukubwa - Mungu Mwenye Nguvu Lyrics
Neema yako, fadhili zako, kila asubuhi Ni mpya tena zanifariji moyo niamkapo Kulala, kuamka ni kwa neema yake Mungu, Ndugu yangu, Ulimpa mungu nini wewe kusudi uwe jinsi ulivyo? Usijivune bure ni neema yake baba.
Paul Mwai - Omba Lyrics
Shambami Gethsemane Yesu aliomba Baba kiondoe kikombe cha machozi Maana sio mapenzi yangu yatimizwe Bali mapenzi yako Baba yatimizwe Mungu kampa nguvu kashinda majaribu Kesha ukiomba aaaah Kesha ukiomba aaaah Maana adui naye atafuta waliolala Ili awangamize roho yangu usilale Kilio ninacho mimi ni kwa wale wameokoka Adui ameamua kamwe ...
Eunice Njeri - Bwana Yesu Lyrics
Tumaini langu liko kwako Yahweh Mimi sina uwezo Sina Bwana mwingine ila wewe mimi sina uwezo sina Bwana mwingine ila wewe Wewe ndiwe baba yangu Msaada wangu wa Karibu ...
Sauti Sol - Asante sana baba Lyrics
Lyrics for Asante sana baba by Sauti Sol. Asante sana baba yangu Umenipa mafunzo ya ajabu Kunifunza kweli ni taabu Nafanya kazi usia... Lyrics for Asante sana baba by Sauti Sol. Asante sana baba yangu Umenipa mafunzo ya ajabu Kunifunza kweli ni taabu Nafanya kazi usia... Type song title, artist or lyrics.
Aslay - Mahabuba Lyrics
Lyrics for Mahabuba by Aslay. Weka shuka kwa kitanda tuje tulale mama Naomba ulale na kanga mana nimekumic sana Tunanene...
Diamond Platnumz - Marry You Lyrics
Lyrics to "Marry You" song by Diamond Platnumz: When I look at you I see the air of every flavoury I see the sun go high you shine on me Niko mzima...
Mercy Masika - Nikupendeze translation in English
Type song title, artist or lyrics. Top lyrics Community Contribute. Sign in Sign up Sign up
Fanuel Sedekia - Ametenda Maajabu, Pt. 1 Lyrics
LyricsAmetenda Maajabu, Pt. 1 Fanuel Sedekia. Last update on: October 14, 2015. No translations available. Add Translation. Choose translation. ... Baba Yangu. See more. Exclusive offer. Get up to 3 months of free music. You will get 3 free months if you haven't already used an Apple Music free trial.
Rose Muhando - Ee Mungu Nitakushukuru Lyrics
Lyrics for Ee Mungu Nitakushukuru by Rose Muhando. Ee Mungu wangu mimi ninatukushukuru Mbele ya mataifa mimi nitaimba Dunia nzima nayo itambu...
Kambua - Bado Nasimama Lyrics
Kwa wema wako, kanisimamisha na Imani yangu ukaiweka salama. Kama si wewe, mwamba wa wokovu wangu, nisingeweza, ningehangamia. Nainua macho yangu, kwako wewe baba yangu Msaada wangu utatoka wapi, Msaada wangu u katika bwana Hasinzii, ananindaye, aniachi mimi niteleze Anipa nguvu na uwezo wake, ili mimi nifike kule Nifike kule End.
Khadja Nin - Sina Mali, Sina Deni (Free) Lyrics
Kabisa, ni hajabu Sina mwili tena Niko sawa upepo Mimi masikini Sina mali mali, sina deni Mali yangu baba Ina nyesha kama mvua Ina ruka kama ndege Ina cheka kama mtoto Ahiya, mam'ahiya Sina haja, ya kitu, mimi napona I'm free, kama maji Anatembeya mpaka katika pori Mimi, mi masikini Sina mali mali, sina deni Mali yangu baba Ina ota kama maua ...
Otile Brown feat. Sanaipei - Chaguo La Moyo Lyrics ...
Hey hey Oh, baby Teddy B No Tam tarara tam tam, yay Oh, baby Tam tarara tam tam Mi' nakuchagua wewe, wewe uwe wangu (aah) Mume wangu, baba ya watoto wangu (aah) Kupendwa nawe majaliwa, kukuoa ni baraka, eeh (aah) Mshikaji wangu wa maisha Oh, baby, I love you (aah) And for you Ninabadili mienendo yangu, baba Baby, for you Ninaukimbia ujana mama, eeh (yay yay) Nijenge boma nawe (nawe) Nizae ...
Bahati Bukuku - Dunia Haina Huruma Lyrics
Msiba wangu ukaongezeka Dunia haina huruma Dunia haina uchungu Mimi na maisha yangu Leo nataka kutengeneza na Mungu Nimechoka kudanganya moyo wangu Nataka kutengeneza na Mungu Lazima kutengeneza na Mungu Nikimwambia mume anaweza kuniua Ila moyo wangu unanishuhudia ni lazima nimwambie Maana nataka kuteneneza na Mungu Mimi lazima nitengeneneza na ...
Eunice Njeri feat. Billy Frank - Umeniweza Lyrics
Upendo wangu mi nakupa baba Moyo wangu wakupenda we wajua Moyo wangu wakuinua tazama Kwa kinywa changu nakusifu Messiah eeh Upendo wangu mi nakupa babaa Umeiweza roho yangu Yesu Umeiweza Umeiweza roho yangu Yesu umeniweza Umeiweza roho yangu Yesu Umeiweza Umeiweza roho yangu Yesu umeniweza Nafsi yakutamani mpenzi wa roho yangu Roho yangu yaona kiu uuu uh Nafsi yangu yakutamani mpenzi wa roho ...
Wa Majeshi lyrics by Justin Lomame - original song full ...
Niko ndani vita iyi baba Niko ndani vita iyi baba ehhhh Yapiganisha mwili wangu wote Yapiganisha maisha yangu yote Njiya tofauti napiganishua Njiya tofauti napiganishua Tabiya mbaya iko ndani yangu Naomba bwana unishindiye Wewe wa majeshi Wamajeshi ninaomba unishindiye Wamajeshi mungu nione mkono wako Nipiganiye vita baba maishani mwangu Vita ...
Phil Lesh & Friends - Jam Lyrics
Lyrics for Jam by Phil Lesh & Friends. Bado nasimama, (I'm still standing) Bado naendelea (I'm still continuing) Bado najikaza, (...
Dan Em - Kama Sio Wewe Lyrics
Nasema umejawa na rehema na neema tele Baba yangu. Kama sio wewe, ningekuwa wapi mimi (kama sio wewe) Kama sio wewe, ningekuwa wapi mimi (ooh) Umejawa na rehema (umejawa) na neema tele (Yesu weee)Umejawa na rehema na neema tele. Shetani alinionea, Yesu ukanitafuta. Ukaniokowa wewe kwa rehema na neema. Ukaniregesha kwako, ukaniita mwanao.
Deborah Lukalu - We Testify Lyrics
Lyrics for We Testify by Deborah Lukalu. You are the God of signs and wonders You are the God of miracles You give me joy and peace...
Eunice Njeri - Umeniweza Lyrics
Upendo wangu mi nakupa Baba Moyo wangu wakupenda we wajua Moyo wangu wakuinua tazama Kwa kinywa changu nakusifu Messiah eeh Upendo wangu mi nakupa Babaa Umeiweza roho yangu Yesu umeiweza Umeiweza roho yangu Yesu umeniweza Umeiweza roho yangu Yesu umeiweza Umeiweza roho yangu Yesu umeniweza Nafsi yakutamani mpenzi wa roho yangu Roho yangu yaona kiu uuu uh Nafsi yangu yakutamani mpenzi wa roho ...
Found 35 lyrics.

Recent lyrics

duby